Onpointgraphics ilianzishwa mwaka 2017 na Hafidhi Mitambo ambae alikuwa na lengo la kuhitaji watu wajifunze kwa kutumia lugha ya kiswahili kuhusiana na mambo mbalimbali yanayohusu softwares za kompyuta pamoja na simu namna ya kuzitumia kwaajili ya kuleta matokeo katika nyanja mbalimbali.

Sir. Mitambo ni Mwalimu, Designer, Video Editor na mwanzilishi wa Onpointgraphics jukwaa la kimaudhui mtandaoni linalotoa huduma mbalimbali kama vile Graphics Design, Video Editing, Motion Design, Website Design, 3Ds Design, Microsoft office, Mafunzo ya kozi mbalimbali, kufanya installation za Program mbalimbali za kompyuta, Kuuza program za kompyuta n.k. Onpointgraphics wana uzoefu wa zaidi ya miaka kumi katika ufundishaji, Designing na Editing.

HUDUMA TUNAZOTOA

Onpointgraphics tunatoa huduma mbalimbali kama vile kwenye creative industry kuanzia designing, mafunzo, Editing, vifaa n.k

Website Design

Tunatoa huduma za kutengeneza website za aina mbalimbali kama vile E-commerce website, blogs, tour websites, business, personal website, NGO's website karibu sana.

Graphics Design

Tunatoa huduma za kufanya graphics design za aina mbalimbali kama vile logo, business cards, Comapany profile, Proposal design, flyers, posters n.k karibu sana tufanye kazi.

Mafunzo ya Designing

Tunatoa mafunzo ya kozi mbalimbali mtandaoni kama vile Graphics design, motion design, video Editing, website designs na softwares zingine kwa njia ya online.

Branding Service

Tunatoa huduma ya full branding kwa makampuni, taasisi, biashara na watu binafsi, karibu sana tunafanya full branding kitaalamu na inayoendana na wakati.

Social Media Marketing

Tunatoa huduma ya kutangaza biashara yako kwenye mitandao ya kijamii ili kuwafikia watu wengi zaidi kama vile facebook, Instagram n.k ili kuwafikia wateja wako unaowahitaji.

Printing Service

Tunatoa huduma ya kufanya printing ya vitu mbalimbali kama vile vipeperushi, mabango, T-shirts, kadi, vyeti, kutoa copy, vitambulisho, banners, na stickers tunafanya karibu.

Huduma ya Delivery

Kwa waliopo mikoani na ndani ya Dar es salaam tunatoa huduma ya kuchukuliwa mzigo wako kutoka sehemu moja hadi nyingine ( Yaani delivery mzigo mpaka ulipo kwa gharama nafuu).

Picha na video

Tunatoa huduma za upigaji picha na video kwaajili ya sherehe, matukio na mambo binafsi, karibu sana tufanye kazi zenye ubora wa hali ya juu na zenye mvuto.

Nunua bidhaa zetu

Tunauza bidhaa mbalimbali kwa bei ya jumla na rejareja kama vile kompyuta, Printers, Camera, stationary, T-shrts, simu, vifaa vya kompyuta, vifaa vya simu na vifaa vya mashuleni.

Huduma za Designing

Onpointgraphics pia inatoa huduma mbalimbali za Graphics Design kama vile kudesign posters design (Mabango), Flyers design (Vipeperushi), Brochure design (Vipeperushi mkunjo), Company Profile design (Profile za biashara), Business Card design, Invitation Card design (Kadi za mwaliko), Calendar design, Banners design, Products label design (Lebo za bidhaa), Logo Design, ID Card design (Vitambulisho), Letterhead Design, Website design, Motion design video,Video editing n.k. Tunafanya designing kwa kufuata hatua zote za designing kwa kushirikiana na mteja wetu ili kupata Designing zenye ubora na zitakazosimama sokoni.

Courses (kozi) tunazotoa

Onpointgraphics tunatoa kozi mbalimbali ya kompyuta mtandaoni kama vile kozi za Graphics Design,, Video Editing, Motion Design, Website Design, Microsoft office n.k mafunzo haya yanatolewa online tu kwa mfumo wa videos ambazo zipo tayari zimeandaliwa kuanzia mwanzo mpaka mwisho. Ukiunganishwa unapata access ya Videos za mafunzo, Program na resources zingine za kujifunzia hivyo kukuwezesha kujifunza kwa muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster. Angalia kozi zinazotolewa kwa kubonyeza hapo chini.

Adobe Photoshop (Photo Editing & Graphics Design)

Mafunzo ya Adobe Photoshop ni proramu inayotumika kufanyia Photo editing na Graphics design kwenye kompyuta, ndio programu inayoongoza kwa sasa kwenye photo editing  n.k…….inaendelea!

Mafunzo ya Adobe Premiere Pro (Video Editing)

Mafunzo ya Adobe Premiere Pro ni programu inayotumika kufanyia Video Editing kwenye Kompyuta, na ina viwango vya kimataifa na inatumika Duniani kote……inaendelea!

Mafunzo ya Adobe Illustrator (Graphics Design)

Mafunzo ya Adobe Illustrator ni programu inayotumika kufanyia Graphics design kwenye na ina viwango vya kimataifa na inatumika Duniani kote, katika mafunzo haya…inaendelea!

Mafunzo ya Webdesign (WordPress)

Mafunzo ya Website design ni sanaa ya kudesign website bila kutumia lugha za kompyuta kama vile HTML, CSS, PHP n.k inayotumika kufanyia Designing za webiste mbalimbali duniani kote na ni njia……….inaendelea!

Mafunzo ya Microsoft Publisher

Microsoft publisher ni kozi inayotumika kufanyia design za vitu mbalimbali kama vipeperushi, majarida, vitabu, covers, calender, business cards n,k

Mafunzo ya Microsoft Powerpoint

Microsoft powerpoit ni kozi inayotumika kufanyia design za slides mbalimbali kwaajili ya kufanyia presentation, kuandaa templates na kufanyia slide automations.

Mafunzo ya Microsoft Word

Microsoft Word ni kozi inayotumika kuandalia documents mbalimbali kama vile research, vitabu, assigments, barua n.k inasaidia sana kurahisisha kazi za ofisi.

Mafunzo ya Microsoft Excel

Microsoft Excel ni kozi inayotumika kufanyia functions, formula, n.k ni kozi inayofanya kazi nyingi za mahesabu na uzuri wake inatumia  formula zaidi na automation katika kazi zake.

Malengo yetu

Kutoa mafunzo na huduma bora za Graphics design, Video Editing, Website Design na Motion design ambazo zitawawezesha vijana kujiajiri na kuzipa muonekano chanya biashara mbalimbali.

Dira yetu

Kuwawezesha vijana kujifunza Graphics design kwa gharama nafuu na kuleta ushindani kwenye designing career miongoni mwa nchi za Afrika.

Baadhi ya kazi zetu

Onpointgraphics tunajihusisha zaidi na kutoa mafunzo mbalimbali ya kompyuta mtandaoni, lakini pia tufanya designing kama vile za Logo, business cards, vipeperushi, Vipeperushi mkunjo, Banners, Company Profile n.k, hapa chini ni baadhi tu ya kazi zetu ambazo tumefanya na wateja wetu kutoka sehemu mbalimbali za dunia.

Wanachosema wanafunzi wetu

"Ahsante sana Sir. Mitambo kwa kweli mafunzo yako yamenisaidia sana, mpaka kufikia leo nimekuwa designer mzuri kwaajili yako"
Noel Alex
GraphicsDesigner
"Nilikuwa sijui nianzie wapi kujifunza Website design asee lkn nakushukuru sana umefanya kwa sasa ninadesign website vizr sana. Mungu akubariki sana Sir. wangu"
Adam Maseko
Teacher
"Katika kitu napenda kujifunza kozi zako ni utaratibu wako wa kufundisha, uajua sana kuelezea mwalimu, yaani unachambua kitu kimoja kimoja, kwakwel upo vzr sna mwlmu wangu"
Said Malik
Content creator
"Mwl umenisaidia sana kwa sasa nina nimejiajiri kwa ujuzi wa graphics design na nina stationary yangu ahsante sana"
Amina shamte
Graphics Designer
Idadi ya Wanafunzi
0 +
Idadi ya Kozi
0 +
Wafuatiliaji
0 +
Idadi ya Nchi
0 +