Huduma zetu tunazotoa

Onpointgraphics ni platform inayojiuhusisha na utoaji wa mafunzo ya kompyuta kwa lugha ya kiswahili, hilo ndio lake kuu, lakini pia kuna huduma zingine ambazo inatoa kama vile designing, kufanya installations za programs, kuuza programs mbalimbali, kuuza vifaa mbalimbali vya kielectronics (Kompyuta, accessories phone n,k).

Website Design

Onpointgraphics tunafanya designing ya Websites za aina mbalimbali kwa wateja wetu kama vile Website za taasisi kama shule, vyuo n.k, website za E-commerce, blogs, website za biashara, makampuni, hotels n.k pia kufanya redesigning za websites. Inahusisha kusajili domain na kufanya hosting. karibu sana ufanye kazi na sisi.

Graphics Design

Tunafanya designing za company profile za kisasa, Business Cards, Poster design za kuprint au za social media, Calendar, Vipeperushi, Majarida, letterheads, Brochure/leaflets/vipeperushi mkunjo, banners, Logo, kadi za mwaliko, vitambulisho vya shule, vyuo na ofisi, Lebo za bidhaa/products labels.

Motion Videos

Motion Videos ni videos zinazotumika kutangaza biashara kwenye mitandao ya kijamii au telvision, onpointgraphics tunatoa huduma hii kwa videos kuanzia sekunde 30 hadi dakika tatu zenye muonekano mzuri na zenye mvuto. Karibu sana kwa huduma bora na za uhakika, na unapata kwa wakati.

Logo Design

Kampuni, taasisi, biashara n.k utambulisho wa kwanza ni LOGO yake, kwahiyo onpointgraphics tunatoa huduma ya logo designing za kisasa na zinazoendana na uhitaji wa muhusika na brand colors zenye maana halisi na biashara au huduma husika. Logo zipo katika package tatu tazama bofya hapo chini. 

Printing

Onpointgraphics inatoa huduma ya printing za designing mbalimbali kama vile banners, flyers/vipeperushi, kadi za mwaliko, majarida, posters, brochure/vipeperushi mkunjo, business cards, vitambulisho, lebo za bidhaa n.k. Kama una design yako tayari au unahitaji kufanyiwa designing na printing, karibu sana.

Mafunzo Mtandaoni

Onpointgraphics inatoa huduma ya kufundisha mtandaoni kozi kama vile website design, microsoft office, motion design, video editing, graphics design, audio editing and recording n.k mafunzo yanatolewa katika mfumo wa videos ambazo zimeshaandaliwa tayari, hivyo ukijiunga unapatiwa pamoja na softwares.

Uuzaji wa kompyuta

Onpointgraphics inatoa huduma za kuuza kompyuta zenye sifa mbalimbali kwa matumizi ya kampuni, taasisi, watu binafsi, designers, gamers, n.k huwa tunauza kwa oda maalumu unaweka oda na specifications zako na brand unayohitaji  kisha unapatiwa. Pia tunatoa ushauri wa kompyuta bora za matumizi yako.

Uuzaji wa softwares

Kwa mahitaji ya softwares mbalimbali za kompyuta, onpointgraphics tunatoa latest softwares mbalimbali kwa matumizi yako kwenye kompyuta. Unachotakiwa kufanya weka oda ya software unayohitaji kisha tutakufamisha kama inapatikana na gharama yake. Ni uhakika na unapewa njia za kufanya installations.

Branding

Kwa mahitaji ya kufanyiwa branding ya kampuni au biashara yako kuanzia designing, uchaguzi wa rangi na maana zake, kufanya presentaion na kila kitu karibu sana.

Kuinstall Softwares

Kwa huduma ya kufanyiwa installations ya softwares mbalimbali pamoja na intoduction ya namna ya kuzitumia huwa tunatoa kwa gharama nafuu sana karibu sana.

Accessories za simu na kompyuta

Tunatoa huduma za uuzaji wa accessories za simu na kompyuta kama vile betri, chaja, covers, protectors, n.kni original na uhakika kwa kifaa chako. Karibu sana onpointgraphics 

Mafunzo yaLive (Private sessions).

Kwa mahitaji ya private session (mafunzo ya ana kwa ana unafuatwa ulipo) kwa kozi kama Graphics design, Website design n.k weka oda yako ujue na gharama na mahitaji.