Courses/Kozi tunazotoa

Onpointgraphics tunajihusisha na utoaji wa mafunzo mbalimbali mtandaoni kama vile Graphics design, Video Editing, Motion Design, Website design, Microsoft office n.k Mafunzo huwa yanatolewa kwa mfumo wa Videos na sio ana kwa ana. Mtu akijiunga na mafunzo anapatiwa mfululizo wa Videos za mafunzo zote, Program ya kufanyia mazoezi wakati anajifunza ambayo itakuwa yake kabisa baada ya kumaliza mafunzo pamoja na resources zingine ambazo atatumia wakati wote wa mafunzo kumrahisishia kujifunza kwake. Katika mafunzo haya atapatiwa usadizi 100% wakati wote wote wa mafunzo.

Mafunzo yaAdobe Photoshop (Design & Editing)

Adobe Photoshop ni programu inayotumika kufanya Graphics Design, Photo restoration, Photo Retouching, Photo composition.k katika mafunzo haya nimefundisha namna ya kutumia programu hii kuanzi a mwanzo kabisa mmpaka mwisho…..inaendelee!

Tsh 25,000/=
Mafunzo ya Adobe Premiere Pro (Video Editing)

Adobe Premiere Pro ni programu inayotumika kufanyia Video Editing kwenye Kompyuta, na ina viwango vya kimataifa na inatumika Duniani kote, katika mafunzo nimefundisha namna ya kutumia programu hii kuanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho……inaendelea!

Tsh 25,000/=
Mafunzo ya Adobe Illustrator (Graphics Design)

Adobe Illustrator ni programu inayotumika kufanyia Graphics design ina viwango vya kimataifa na inatumika Duniani kote, katika mafunzo nimefundisha namna ya kutumia programu hii kuanzia mwanzo kabisa mpaka mwisho namna ya kutumia na kufanya designs…..inaendelea!

Tsh 25,000/=
Mafunzo ya Website Design Course (WodrPress)

Website design ni sanaa ya kudesign/kuunda website bila kutumia lugha za kompyuta kama vile HTML, PHP n.k inayotumika kufanyia Designing za webiste mbalimbali duniani kote na ni njia tegemezi sana. Katika mafunzo haya nimetumia WordPress, nimefundisha……inaendelea!

Tsh 35,000/=
Mafunzo ya Graphics Design (Adobe Photoshop)

Graphics Design kwa kutumia Adobe Photoshop, Photoshop ni programu pana sana ukiisoma kuanzia mwanzo mpaka mwiaho sababu inahusika  na photo editing pamoja na graphics Design. Katika mafunzo haya nimefundisha namna ya kutumia adobe photoshop na kisha nikaingia ndani zaidi kufundisha Graphics design…….inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Poster Design (Adobe Photoshop)

Posters/Mabango ni muundo wa matangazo ambayoyanatumika kutoa taarifa fulani inaweza kuwa online au offline yaani printed. Kwa kutumia programu ya Adobe Photosho nimefundish kiundaninnadharia pamoja na namna ya kufanya designing ya posters mbalimbali kwa matumizi ya mitandao ya kijamii n.k…….inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Company Profile (Adobe Illustrator)

Company Profile ni kitabu au jarida ambalo linatumika kutoa muongozo wa kampuni husika kuhusu mafanikio yao, mission na vision zao, projects zao, na mfumo mzima wa biashara zao. Katika mafunzo haya nimefundisha namana ya kufanya designing ya company profile kuanzia mwanzo mpaka mwisho kila……..inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Photo/Skin Retouching

Photo Retouching ni sanaa ya sana ya urekebishaji wa picha na kuipa muonekano mzuri zaidi kama vile kuoneza mwanga, kuondoa madoa, kung’arisha meno na macho, na kuondoa vitu ambavyo unaona hauvihitaji kwenye picha yako ikiwemo background n.k. Katika mafunzo haya nimefundisha hatua kwa hatua………..inaendelea!

Tsh 22,000/=
Mafunzo ya Brochure Design (Adobe Illustrator)

Brochure au Leaflet design ni kozi ambayo nimefundisha namna ya kufanya designing ya aina mbalimbali za vipeperushi mkunjo kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka kufikia hatua ya kuhitaji kuziprint. Utajifunza aina na miundo mbalimbali ya kudesign Brochure kuanzia za pande mbili hadi pande nane…..Inaendelea!

Tsh20,000/=
Mafunzo ya Flyers Design (Adobe Illustrator)

Flyers Design design ni kozi ambayo nimefundisha namna ya kufanya designing ya aina mbalimbali za vipeperushi kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka kufikia hatua ya kuhitaji kuziprint. Utajifunza aina na miundo mbalimbali ya kudesign vipeperushi vya kawaida. Pia utapatiwa files za kufanyia mazoezi…….inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Poster Design (Adobe Illustrator)

Posters design ni kozi ambayo nimefundisha namna ya kufanya designing ya aina mbalimbali za posters au mabango kutafyta ideas, resources, n.k kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka kufikia hatua ya kuzi-export kwaajili ya matumizi yako. Utajifunza aina na miundo mbalimbali ya kudesign posters…….Inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Adobe XD (User Interface)

Mafunzo ya Adobe XD ni programu inayotumika kufanyia designing za user interface za application na website( yaani muonekano wa apps na webs na jinsi zitakavyo-behave kwa mtumiaji) kwenye devices mbalimbali, na ina viwango vya kimataifa na inatumika Duniani kote, katika mafunzo nimefundisha………Inaendelea!

Tsh 22,000/=
Mafunzo ya Banner Design (Adobe Illustrator)

Banner ni mabango ya size mbalimbali ambayo yanaweza kuprintiwa au kutumika mtandaoni tu. Banner design kwa kutumia programu ya Adobe Illustrator ni kozi ambayo nimefundisha namna ya kufanya designing ya banners mbalimbali kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka kufikia hatua…..inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Profile Company (Adobe Photoshop)

Company Profile ni kitabu au jarida ambalo linatumika kutoa muongozo wa kampuni husika kuhusu mafanikio yao, missio na vision zao, projects zao, na mfumo mzima wa biashara zao.  Katika mafunzo haya kwa kutumia programu ya Adobe Photoshop nimefundisha namana ya kufanya designing ya company profile…..inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Business Card Design (Adobe Photoshop)

Business Card design kwa kutumia programu ya Adobe Photoshop ni kozi ambayo nimefundisha namna ya kufanya designing ya kadi za biashara mbalimbali kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka kufikia hatua ya kuhitaji kuiprint. Utajifunza aina na miundo mbalimbali ya kudesign business cards….inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Flyers Design (Adobe Photoshop)

Flyers Design design kwa kutumia programu ya Adobe Photoshop ni kozi ambayo nimefundisha namna ya kufanya designing ya aina mbalimbali za vipeperushi kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka kufikia hatua ya kuhitaji kuziprint. Utajifunza aina na miundo mbalimbali ya kudesign vipeperushi vya kawaida….inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Adobe Audition (Audio Editing)

Adobe Audition ni programu inayotumika kufanya Editing ya sauti na pia kufanya recording ya sauti kwenye kompyuta ni moja ya programu zinazofanya kazi vizuri sana………

Tsh 22,000/=

Mafunzo ya Adobe After Effects (Motion design)

Adobe After Effects ni programu inayotumika kufanyia Animations, Vfx, kutengeneza videos, 3Ds n.k inatumika duniani kote na ni industry standard software kwa motion graphics/design……

Tsh 25,000/=

Advanced Adobe Photoshop (Editing & Designing)

Advanced photoshop ni kozi ambayo imegusia features za ndani kabisa za programu ya Adobe photosho, kufanya editing na pia graphics design kwenye programu hii……….

Tsh 20,000/=

Mafunzo ya Canva design (Video editing & design)

Canva ni programu inayotumika online tu kwenye kompyuta au simu, kufanyia video editing au graphics design, ina features nzuri sana kwa designs za haraka, inatoa templates nyingi sana …..

Tsh 20,000/=

Mafunzo ya Adobe Indesign full course

Adobe InDesign ni software inayotumika kufanyia Layout Design kwenye kompyuta. Ni program inayotumika Duniani kote na ni industry standard software kwa kufanya Magazine/Majarida………

Tsh 25,000/=

Mafunzo ya Products Label Design (Illustrator cc)

Products Label ni Lebo za bidhaa kwa kiswahili, hizi ni vibandiko ambavyo vinakaa kwenye bidhaa mbalimbali ambazo zinakuwa na maelezo ya bidhaa husika, viambata ambavyo vimetengenezewa bidhaa……..

Tsh 20,000/=

Mafunzo ya Business Cards designs (Illustrator cc)

Business cards ni kadi za biashara ambazo zinazotumika kumpatia mteja au mtu ambae hauna mawasiliano nae ili kuweza kukumbuka au kupata mawasiliano yako, business cards inakuwa na taarifa zako zote……..

Tsh 18,000/=

Mafunzo ya Facebook Marketing

Facebook Marketing ni kitendo cha kufanya matangazo ya biashara kupitia mtandao wa Facebook ambapo unawalipa Pesa na kisha unaweka details za tangazo lako, ambapo unaweka walengwa wa tangazo lako……..

Tsh 20,000/=

Mafunzo ya Video Editing kwa simu

KineMaster ni online software inayotumika kufanyia  Video Editing na Motion design kwenye Simu. Ni program nzuri sana kwaaajili ya Kuedit videos zako simple kwa matumizi ya mitandao ya kijamii……

Tsh 15,000/=

Mafunzo ya Graphics Design kwa simu

Canva ni online software inayotumika kufanyia Graphics Design na Video Editing kwenye kompyuta na Simu Lakini pia ina design ambazo zimeshaandaliwa Tayari na unaweza Kuedit na kuzitumia……

Tsh 15,000/=

Mafunzo ya Instagram marketing

Instagram Marketing ni kitendo cha kufanya matangazo ya biashara kupitia mtandao wa Instagram ambapo unawalipa Pesa na kisha unaweka details za tangazo lako, ambapo unaweka walengwa……

Tsh 20,000/=

Mafunzo ya ID Cards Design (Adobe Illustrator)

ID cards design ni kadi mbalimbali ambazo zinatumika kumtambulisha mtu kwenye taasisi fulani au eneo fulani kwamba anahusika na sehemu hiyo kikazi au kiumiliki n.k. ID CARD ni Vitambulisho……..

Tsh 20,000/=

Mafunzo ya Adobe Indesign (Layout deisgn)

Adobe InDesign ni kozi ambayo sio ngumu sana kwa mtu anaeanza kujifunza kwa hatua za mwanzo kwaajili ya matumizi yake ya kawaida, ila ukienda kwenye Advanced level ndio inakuwa imechangamka kidogo. Katika mafunzo haya ya beginner level nimefundisha misingi ya kuanza kujifunza Adobe InDesign ambapo utajifunza vitu vyote muhimu……inaendelea!

Tsh 20,000/=
Mafunzo ya Brochure/Leaflet Design (Adobe Photoshop)

Brochure au Leaflet design kwa kutumia programu ya Adobe Photoshop ni kozi ambayo nimefundisha namna ya kufanya designing ya aina mbalimbali za vipeperushi mkunjo kuanzia mwanzo hadi mwisho mpaka kufikia hatua ya kuhitaji kuziprint. Utajifunza aina na miundo mbalimbali ya kudesign Brochure kuanzia za pande mbili hadi pande nane…..inaendelea!

Tsh 20,000/=