Maswali yanayoulizwa mara kwa mara
Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa videos ambazo zipo tayari zote kwenye channel ya telegram hivyo ukiunganishwa unapata access ya videos za mafunzo, program na resources zingine za kujifunzia, na kukuwezesha kujifunza kwa muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi mpaka unamaster hatua kwa hatua.
Hapana. Hatutoi vyeti mafunzo ni kwaajili ya kupata ujuzi wa ziada.
Hatuna physical ofisi mafunzo ni kwa njia ya mtandao tu (yaani Online).
Hapana. Mafunzo sio ana kwa ana ni online pekee kwa mfumo wa videos.
Ukijiunga na mafunzo unapatiwa software na kila kitu unahitajika uwe na kompyuta tu.
Unahitajika uwe na kompyuta (Laptop au desktop), ili uweze kusoma kozi za video editing, website design, motion design, graphics design n.k
Ndio. Unaweza kudownload ukasoma ukiwa offline.
Hatupo hapa kuwatapeli watu, kitu cha kwanza hakikisha unasoma taarifa zote muhimu kwenye website yetu na mitandao yetu ya kijamaii na ukiona kuna kitu bado kinakupa wasiwasi wasiliana na sisi kupitia whatsapp ili upate ufafanuzi zaidi kisha ndo utume pesa.
Inategemea na wepesi wa kichwa chako inaweza kuchukua mwezi mmoja na nusu hadi miezi sita kumaster design.
Hapana Ada inalipwa yote wa awamu moja tu.
Telegram ni application inayosapoti kwenye kompyuta na simu kama ilivyo whatsapp ingia google au google playstore kisha download na ujiunge
Wakati wa mafunzo popote unapopata ugumu unawasiliana na mwalimu anakusaidia papohapo
Ndio yatakufa mafunzo haya yameanzia level ya chini kabisa kwa mtu ambae hajui chochote hadi level ya juu kabisa ambapo utafanya projects zako.
Kama haujawahi kabisa kujifunza programu yoyote ya design nakushauri anza na adobe Illustrator au Adobe photoshop ndio programu rahisi kwa graphics designers.
Soma Adobe premiere pro ni software nzuri zaidi kwa video editing.