Karibu ujiunge na Mafunzo ya ID Cards design kwa kutumia Adobe Illustrator
ID cards design ni kadi mbalimbali ambazo zinatumika kumtambulisha mtu kwenye taasisi fulani au eneo fulani kwamba anahusika na sehemu hiyo kikazi au kiumiliki n.k. ID CARD ni Vitambulisho kama vile vya shule, ofisi n.k .
Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya kuset vipimo vya Vitambulisho na vyeti, Jinsi ya kuanza kufanya designing mbalimbali za Vitambulisho na vyeti na ku-export Vitambulisho au vyeti vyako Kwaajili ya kuprint.
Karibu Katika Mafunzo company profile design kwa kutumia Adobe Illustrator
Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.
Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 20,000/= kwenda M-PESA Lipa Namba: 5183987
Jina: HAFIDHI MITAMBO ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.
Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.
WhatsApp yangu+255 627 808 683