Karibu ujiunge na Mafunzo ya Adobe XD (User interface design)

Adobe XD ni software inayotumika kufanyia User interface Design kwenye kompyuta (yaani muonekano wa application ule kama vile application ya WhatsApp au Websites ule muonekano wake unakupa access ya kubonyeza sehemu na kufanya kitendo fulani). Ni program inayotumika Duniani kote na ni industry standard software kwa kufanyia design ya Mobile Application, website Design interfaces zake n.k katika ubora wa hali ya juu sana ni software nzuri sana. Mafunzo haya ya Adobe XD yameanza mwanzo mpaka intermediate level, kwanza nimefundisha namna ya kutumia tools zote. Kwa kujiunga Na mafunzo haya Utajifunza Jinsi ya kutumia tools zote zilizopo kwenye Adobe XD, Jinsi ya kudesign simple mobile Application, kufanya wireframing, kufanya prototyping,  n.k 

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, software/program ya Adobe XD, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 22,000/= kwenda M-PESA Lipa Namba: 5183987

Jina: HAFIDHI  MITAMBO ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

WhatsApp yangu+255 627 808 683