Karibu ujiunge na Mafunzo ya Business Cards Design kwa kutumia Adobe Illustrator

Business cards ni kadi za biashara ambazo zinazotumika kumpatia mteja au mtu ambae hauna mawasiliano nae ili kuweza kukumbuka au kupata mawasiliano yako, business cards inakuwa na taarifa zako zote muhimu kama vile majina, namba ya simu, email, n.k.

Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya kuset vipimo vya business cards, Jinsi ya kuanza kufanya designing mbalimbali za business cards, na ku-export business cards yako Kwaajili ya kuprint.

Karibu Katika Mafunzo Business cards design kwa kutumia Adobe Illustrator 

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 18,000/= kwenda M-PESA Lipa Namba: 5183987

Jina: HAFIDHI  MITAMBO ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

WhatsApp yangu+255 627 808 683