Karibu ujiunge na Mafunzo ya Instagram Marketing (Kutangaza biashara kwenye mtandao wa instagram)
Instagram Marketing ni kitendo cha kufanya matangazo ya biashara kupitia mtandao wa Instagram ambapo unawalipa Pesa na kisha unaweka details za tangazo lako, ambapo unaweka walengwa wa tangazo lako, mahali tangazo lako lifike, na vitu vingine hivyo kufanya Biashara au huduma yako kuwafikia watu wengi zaidi. Katika Mafunzo haya ya Instagram Marketing nimefundisha namna ya kuanza kufungua kufungua akaunti yako ya biashara, jinsi ya kuifanyia design, jinsi ya kuweka bajeti ya tangazo, jinsi ya kuchagua wahusika wa tangazo lako, jinsi ya kuchagua location, Jinsi ya kufungua akaunti iliyofungiwa, jinsi ya kurusha tangazo n.k
Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.
Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 20,000/= kwenda M-PESA Lipa Namba: 5183987
Jina: HAFIDHI MITAMBO ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.
Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.
WhatsApp yangu+255 627 808 683