Karibu ujiunge na Mafunzo ya Posters design/mabango kwa kutumia Adobe Illustrator

Posters kwa kiswahili tunaita Mabango, Ambayo yanaweza kuwa unadesign Kwaajili ya kuprint au unadesign Kwaajili ya kutumia mtandaoni tu kama vile kwenye mitandaoni mbalimbali ya kijamii au websites. Zipo posters za aina nyingi zenye vipimo tofautiii tofautiii kutokana na uhitaji wa muhusika.

Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya kuset vipimo vya Posters, Jinsi ya kuanza kufanya designing mbalimbali za Posters, na ku-export Kwaajili ya matumizi yako.

Karibu Katika Mafunzo posters design kwa kutumia Adobe Illustrator 

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 20,000/= kwenda M-PESA Lipa Namba: 5183987

Jina: HAFIDHI  MITAMBO ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

WhatsApp yangu+255 627 808 683