Karibu ujiunge na Mafunzo ya Video Editing kwa kutumia simu (Smartphone)

KineMaster ni online software inayotumika kufanyia  Video Editing na Motion design kwenye Simu. Ni program nzuri sana kwaaajili ya Kuedit videos zako simple kwa matumizi ya mitandao ya kijamii sababu inakupa nafasi ya kuingiza na kutoa sauti, kiweka captions, kuongeza mwanga, kupunguza videos n.k. Ukijiunga na mafunzo haya Utajifunza namna ya kuweza kufanya editing ya videos, kutumia transition, kukata Video, kuondoa au kuweka sauti, kutumia Green screen, kuandaa motion videos n.k ni mafunzo yameanza mwanzo kabisa (beginner hadi advanced level) ambapo utafundishwa kila kitu kuhusu software hii.

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidizi hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 15,000/= kwenda M-PESA Lipa Namba: 5183987

Jina: HAFIDHI  MITAMBO ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

WhatsApp yangu+255 627 808 683