Karibu ujiunge na Mafunzo ya Website Design

Website Design ni sanaa ya uundaji au kufanya designing ya websites za Aina mbalimbali kama vile blogs, personal website, business website, website za utalii, website za kuuza mtandaoni E-commerce, website za kufundisha mtandaoni E-learning website, website za mashirika, taasisi kama shule, vyuo n.k kwa kutumia Content management system kama vile Drupal, WordPress n.k bila kutumia Lugha yoyote ya kompyuta kama vile HTML, CSS, PHP, JAVASCRIPT n.k. Katika Mafunzo haya nimefundisha Jinsi ya kudesign website kwa kutumia WordPress ni content management system ambayo inabeba asilimia 40 ya website zote Duniani kwenye internet. Hivyo ni nzuri sana kutumia WordPress hata hii website yangu nimetumia WordPress pia kudesign. Katika Mafunzo haya Utajifunza Jinsi ya kuanza kudesign website kuanzia mwanzo kabisa ukiwa haujui kitu mpaka kufikia hatua ya kuwa na ujuzi wa hali ya juu sana kwenye kudesign website. Utajifunza namna ya kusajili jina la website yaani mfano onpointgraphics.co.tz/.com/.org/.africa/.ac.tz n.k kisha Utajifunza namna ya kulipia huduma ya kurusha website hewani ili iweze kuonekana na watu, Utajifunza Jinsi ya kuandaa Header kwenye websites na kuchagua themes nzuri na za bure kwenye websites Yako, Utajifunza Jinsi ya kuinstall plugins/vipachiko muhimu kwenye website, Utajifunza Jinsi ya kuandaa footer kwenye website, na kisha kuanza kudesign website yetu iwe na muonekano tunaouhitaji sisi. Karibu sana kama ina ndoto ya kuwa website designer basi mafunzo haya ni muhimu sana kwako.

Mafunzo yanatolewa kwa mfumo wa Videos kwenye channel ya telegram kwa sasa ambapo ukiunganishwa unapata access au unapatiwa Videos za mafunzo zote, resources/vitu nilivyotumia wakati nafundisha ili uweze kufanya mazoezi wakati unajifunza pamoja na usaidizi wakati wote unajifunza, hivyo kukuwezesha Kujifunza kwa Muda wako huku sisi tunakupatia usaidiz hatua kwa hatua mpaka unamaster kwa muda wa mwezi mmoja na nusu (yaani kila unapokwama unauliza kisha tunakusaidia ili iwe rahisi kwako kujifunza na ujifunze kwa haraka zaidi.

Ili kuunganishwa na mafunzo haya unahitaji kufanyia malipo Ada ya Tsh 35,000/= kwenda M-PESA Lipa Namba: 5183987

Jina: HAFIDHI  MITAMBO ukishafanyia malipo unaunganishwa papohapo na unaanza kujifunza.

Ukishafanyia malipo jaza fomu hiyo hapo chini ili niweze kuona Malipo uliyofanyia na nikuunganishe na mafunzo Karibu sana.

WhatsApp yangu+255 627 808 683